Findlilo Pass Logo
Matukio Yangu
Hakiki Kibali
Tengeneza
Kadi
Mwaliko
Tiketi
Kibali
kadi
Kidijitali

Kibali cha kidijitali ni salama na haraka.
Tengeneza | Sambaza | Hakiki

Mtiririko wa
Utengenezaji

Ni rahisi na salama kwanzia kutengenezwa hadi uhakiki.

1

Tengeneza Tukio

Weka taarifa muhimu za tukio lako kwa dakika chache.

2

Tengeneza Vibali

Unda kibali cha kidijitali zenye QR Code salama.

3

Sambaza Vibali

Tuma kibali kwa urahisi kupitia SMS au WhatsApp.

4

Hakiki Vibali

Thibitisha uingiaji papo hapo kwa skani moja tu.

Je, Findlilo Pass ni kwa ajili ya nani?

Waandaaji wa Matukio

Punguza msongamano langoni
Zuia udanganyifu wa tiketi feki

Wachapishaji wa Kadi

Usipitwe na teknolojia ya kisasa
Vyanzo vipya vya mapato

Kumbi na Ofisi

Rekodi za wageni za kidijitali
Uhakiki wa haraka